KAMPUNI YA "SanDisk" YATOA "MEMORY CARD (MicroSD)" YA 200GB ... ICHEKI HAPA KAMPUNI YA "SanDisk" YATOA "MEMORY CARD (MicroSD)" YA 200GB ... ICHEKI HAPA

Kampuni ya SanDisk ilitangaza katika Mobile World Congress 2015 (MWC) kutoa Memory Card (MicroSD) yenye uwezo wa 200GB kuhifadhia t...

Read more »

HII NDIYO SIMU MPYA KUTOKA KAMPUNI YA HTC ::: "HTC One M9"  IFAHAMU ZAIDI HAPA HII NDIYO SIMU MPYA KUTOKA KAMPUNI YA HTC ::: "HTC One M9" IFAHAMU ZAIDI HAPA

Hii ndiyo simu mpya ya HTC inayojulikana kama HTC One M9 ambayo imetangazwa ana katika Mobile World Congress 2015 (MWC). ...

Read more »

HIZI NDIZO "SMARTWATCH ZA HUAWEI" ZITAKAZO TOLEWA RASMI JUMAPILI HII ... ZIFAHAMU HAPA. HIZI NDIZO "SMARTWATCH ZA HUAWEI" ZITAKAZO TOLEWA RASMI JUMAPILI HII ... ZIFAHAMU HAPA.

Kampuni ya Huawei ninatarajia kutoa Smart Watch zake baadae Jumapili hii (1st March 2015) ambazo wao huziita Huawei Watch (Timeless des...

Read more »

HATARIIII : HII NDIYO "WALLET" AMBAYO HUEZI KUIPOTEZA "SMART WALLET" IFAHAMU HAPA. HATARIIII : HII NDIYO "WALLET" AMBAYO HUEZI KUIPOTEZA "SMART WALLET" IFAHAMU HAPA.

WOOLET ndiyo wallet ambayo huwezi kuipoteza na inajulikana kama Woolet Smart Wallet. Hata hivyo Smart Wallet hiyo ni Nyembamba (9.9mm) ...

Read more »

JE UNAFAHAMU UWEZO WA "CAMERA" WA SIMU YA "SAMSUNG GALAXY S6"??? FAHAMU HAPA ...NI SHIDAAAA. JE UNAFAHAMU UWEZO WA "CAMERA" WA SIMU YA "SAMSUNG GALAXY S6"??? FAHAMU HAPA ...NI SHIDAAAA.

Tazama clip hii kuona ubora wa Kamera ya Samsung Galaxy S6 Kampuni ya Samsung ipo karibuni kuachia simu yake ya Samsung Galaxy S6...

Read more »

"SMARTWATCHES" ZAPIGWA MARUFUKU VYUONI ... SOMA HAPA "SMARTWATCHES" ZAPIGWA MARUFUKU VYUONI ... SOMA HAPA

Smartwatches zimepigwa marufuku kwa wanafunzi vyuoni huko Uingereza. Sababu zilizosababisha Smartwaches kupigwa marufuku ni kuhofia kusa...

Read more »

KAMPUNI YA TOSHIBA YASITISHA UTENGENEZAJI WA TELEVISHENI...SOMA HAPA KAMPUNI YA TOSHIBA YASITISHA UTENGENEZAJI WA TELEVISHENI...SOMA HAPA

Kampuni ya Toshiba ya Japan imeamua kusitisha utengenezaji wa Televisheni kama apo awali. Hata hivyo kampuni hiyo imeamua kuingia katika m...

Read more »

JE UNAIFAHAMU "FLASH" HII KUTOKA TOSHIBA? IFAHAMU HAPA JE UNAIFAHAMU "FLASH" HII KUTOKA TOSHIBA? IFAHAMU HAPA

Kampuni ya Toshiba imeamua kutoa FlashDisks zenye KeyPad ambazo zitakuwezesha kuweka Password katika Flash yako ili kuweza kufunga na k...

Read more »

JE WAFAHAMU KUHUSU "ROBOT" HILI LINAFANYA KAZI ZIPI? SOMA HAPA JE WAFAHAMU KUHUSU "ROBOT" HILI LINAFANYA KAZI ZIPI? SOMA HAPA

Ukistaajabuya Musa utayaona ya Firauni, Hili ni Robot liliotengenezwa huko Tokyo, Japan lina uwezo wa kupaka rangi kucha zako kwa aina ...

Read more »

BROWSER MPYA YA KOMPYUTA INAYOSEMEKANA KUWA TISHIO KWA CHROME NA MOZILLA ... DOWNLOAD HAPA BROWSER MPYA YA KOMPYUTA INAYOSEMEKANA KUWA TISHIO KWA CHROME NA MOZILLA ... DOWNLOAD HAPA

VIVALDI BROWSER ni browser mpya ya kompyuta ambayo imetengenezwa na aliyekuwa mgunduzi na mmiliki wa Browser maarufu ya Operamini anaye...

Read more »

WHATSAPP PLUS YARUDI TENA NA "ANTIBAN" SASA HUEZI KUA "BANNED" TENA...SOMA ZAIDI HAPA WHATSAPP PLUS YARUDI TENA NA "ANTIBAN" SASA HUEZI KUA "BANNED" TENA...SOMA ZAIDI HAPA

Baada ya siku kadhaa za zoezi la ku ban watumiaji wa WhatsApp lililofanywa na kampuni ya WhatsApp inayo milikiwa na Mark Zuckerberg, kume...

Read more »

WATUMIAJI WA WHATSAPP PLUS MASHAKANI KUFUNGIWA HUDUMA KWA SAA 24.... SOMA ZAIDI. WATUMIAJI WA WHATSAPP PLUS MASHAKANI KUFUNGIWA HUDUMA KWA SAA 24.... SOMA ZAIDI.

Kampuni ya WhatsApp ambayo kwa sasa ina milikiwa na mmiliki wa Facebook na Instagram Mark Zuckerberg, wameamua kufungia (Ban) watumiaji...

Read more »

PICHA YA SAA YA HTC "SMARTWATCH" YAVUJA PICHA YA SAA YA HTC "SMARTWATCH" YAVUJA

Kampuni ya simu ya HTC hivi karibuni kumekuwa wa picha iliyo vuja ikionesha saa ya kampuni hiyo ambayo ina tumia Operating System "OS...

Read more »

JE WAJUA GARI LA KWANZA KUFUNGWA HUDUMA YA 4G? JE WAJUA GARI LA KWANZA KUFUNGWA HUDUMA YA 4G?

Kampuni ya GM (General Motors) ya nchini Marekani imetangaza aina za magari ambayo yanatarajiwa kutoka mwaka 2015 ambayo yatakuwa yameungani...

Read more »

Toleo jipya la Nokia X kuja na Windows Phone OS badala ya Android Toleo jipya la Nokia X kuja na Windows Phone OS badala ya Android

Kampuni ya simu ya Nokia ambayo ilinunuliwa na kampuni ya Microsoft inayo milikiwa na tajiri Bill Gates imeamua kusitisha uendelezaji wa kut...

Read more »
 
 
 
Top