Kampuni ya simu ya HTC hivi karibuni kumekuwa wa picha iliyo vuja ikionesha saa ya kampuni hiyo ambayo ina tumia Operating System "OS" ya Android.
Hata hivyo kumekuwapo na saa tofauti tofauti kutoka makampuni mbali mbali ya simu kama Motorola "Moto 360", Samsung Gear pamoja na LG G Watch.
Android Authority
Posted via NitoTechnology
Post a Comment