Kampuni ya simu ya ZTE ambayo hivi karibuni ilitoa simu yake ya ZTE Open C ambayo ilikua ikitumia Operating System (OS) ya Firefox Os imegundulika pia unaweza tumia Android OS ambayo ni version ya 4.4 maarufu kama KITKAT katika simu hiyo.

Hata hivyo, cha kushangaza zaidi ni bei ambayo simu hiyo inauzwa kuwa ndogo sana kulinganisha na simu nyingine ambazo hutumia Android 4.4 KitKat kuwa za bei ghali sana. Simu hiyo inauzwa kwa dola za kimarekani ($92)

UWEZO WA SIMU HIYO

1.Kioo 4 inch

2.Processor 1.2GHz, dual-core Snapdragon 200, Cortex-A7

3. RAM 512MB

4.Storage 4GB

5. Camera 2 Megapixel ya nyuma

6. Battery 1400 mAh

7. Mitandao GSM 900/1800/1900MHz. 3G/WCDMA: 900/2100 MHz

8. Android 4.4 ina Google Play


Posted via NitoTechnology

Post a Comment

 
Top