Kampuni ya Toshiba ya Japan imeamua kusitisha utengenezaji wa Televisheni kama apo awali.

Hata hivyo kampuni hiyo imeamua kuingia katika makubaliano na kampuni kutoka Taiwan iitwayo Compal Electronics na kuanzia hapo Televisheni watakazo toa kampuni hiyo iliyoingia makubaliano na Toshiba na zitaitwa Compal TV.



Geek




posted from Bloggeroid

Post a Comment

 
Top