Kumekuwepo na taarifa kuhusu Kampuni ya simu ya LG kuwa wameanza kutengeneza simu aina ya LG G Vista ambayo inategemewa kutoka hivi karibuni ambayo ndio itafuta baada ya simu yao iliyokuwa ikifahamika kama LG G3.
Hata hivyo pia kampuni hiyo inategemea pia kutoa LG G3 Mini.
UWEZO WA SIMU YA LG G VISTA
1. KIOO 5.7-inch
2. Android 4.2
3. 1.5 GB of RAM
4. 8GB of internal storage
5. Camera 8MP ya nyuma na 1.3MP ya mbele.
6. 3200 mAh battery.
Posted via NitoTechnology
Post a Comment