Kampuni ya SanDisk ilitangaza katika Mobile World Congress 2015 (MWC) kutoa Memory Card (MicroSD) yenye uwezo wa 200GB kuhifadhia taarifa zako. Hata hivyo MicroSD hiyo itakuwa ikiuzwa kwa Dola za Kimarekani 400 ($400).Pamoja na hayo jina kamili la MicroSD hiyo ni “Ultra microSDXC UHS-I card Premium Edition”.





Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post a Comment

 
Top