Kampuni ya WhatsApp ambayo kwa sasa ina milikiwa na mmiliki wa Facebook na Instagram Mark Zuckerberg, wameamua kufungia (Ban) watumiaji wote ambao wanatumia WhatsApp Plus na kusema kuwa ina sababisha utoaji wa taarifa za siri za watumiaji hao.

Hata hivyo watumiaji wengine wamwsha fungiwa kwa takribani masaa 24 kama adhabu ya kwanza na ukiachiwa kwa mda huo ukiisha na ukiendelea kutumia tena basi utafungiwa tena kuanzia masaa ma 3 na kuendelea.

Pamoja na hayo uongozi mzima wa WhatsApp umewataka watumiaji wote wa WhatsApp Plus kurudisha WhatsApp ya kawaida.


Download WhatsApp Messenger hapa:


Post a Comment

 
Top