Kampuni ya Sony imetoa simu aina ya Sony Xperia C3 ambayo imekua tishio katika ulimwengu wa smartphone na kuwa simu bora inayoongoza kwa kujipigia picha maarufu kama SELFIE.

Uwezo wa SONY Xperia C3

1. Kioo 5.5 Inches LCD

2. Quadcore Processors (Processor Nne), 1.2GHz.

3. 8MP kamera ya nyuma plus LED Flash na 5MP kamera ya mbele plus LED Flash pia ambayo kamera io ya mbele ni "Wide Angle Camera yenye 80 Degree) ambayo imetengenezwa kiutaalamu na ina "PRO Selfie Cam" special kwa ajili ya SELFIES.

4. 2500 mAh Battery


Posted via NitoTechnology

Post a Comment

 
Top