Ukistaajabuya Musa utayaona ya Firauni, Hili ni Robot liliotengenezwa huko Tokyo, Japan lina uwezo wa kupaka rangi kucha zako kwa aina na mitindo tofauti tofauti.
Hata hivyo, pamoja na kuwa na uwezo wa kupaka rangi kucha zako pia Robot hilo lina uwezo wa kupika vyakula mbalimbali.
BBC
Post a Comment