WOOLET ndiyo wallet ambayo huwezi kuipoteza na inajulikana kama Woolet Smart Wallet. Hata hivyo Smart Wallet hiyo ni Nyembamba (9.9mm) ambayo hueza ku fit kwenye mfuko wako wa nguo.
Pamoja na hayo wallet hiyo ni unaiunganisha na Bluetooth moja kwa moa na simu yako na itakuwa ikikupa Notification kama ukiwa umeiacha mahali. Wallet hiyo inaanza kutoa taarifa kuwa umeaicha ukiwa ume sogea kuanzia futi 20-85.
Smart Wallet hiyo inajichaji yenyewe na pia kampuni inayo tengeneza wallet hizo inatarajia kutoa battery za walklet hiyo ambayo itakuwa ikichaji yenyewe kutokana na jinsi unavyotembea. Pia wallet hiyo ina sehemu nne za kuweka Credit Cards, Sehemu moja kubwa kwa ajili ya kuhifadhi ID.
Android Authority
Post a Comment