Smartwatches zimepigwa marufuku kwa wanafunzi vyuoni huko Uingereza. Sababu zilizosababisha Smartwaches kupigwa marufuku ni kuhofia kusababisha udanganyifu (cheating) kipindi cha mitiani kwa kuwa huwa zinakuwa zina uwezo wa kuunganishika  na mtandao (internet).
Hata hivyo, vyuo vilivyo piga marufuku utumiaji huo wa Smartwatch ni University of London na London's City University.



SlashGear


>>>KAMPUNI YA TOSHIBA YASITISHA UTENGENEZAJI WA TELEVISION<<<

Post a Comment

 
Top