Hii ndiyo simu mpya ya HTC inayojulikana kama HTC One M9 ambayo imetangazwa ana katika Mobile World Congress 2015 (MWC).
Uwezo wa Simu hiyo:
1. 5 inches kioo
2. 20 megapixels camera nyuma na 4 ultrapixels (RAW & JPEG files)
3. 4K videos
4. 2840 mAh battery
5. Android 5 Lollipop (Material Design)
Post a Comment