VIVALDI BROWSER ni browser mpya ya kompyuta ambayo imetengenezwa na aliyekuwa mgunduzi na mmiliki wa Browser maarufu ya Operamini anayejulikana kama John S. Von Tetzchner. Bwana John alitengeneza browser ya Opera katika miaka ya 1994.
hata hivyo aliamua kutengeneza Browser ya Vivaldi kwa ajili ya kufanya wepesi zaidi wakati wa kuperuzi tovuti mbalimbali mitandaoni na pia iwe ni browser rahisi kabsa kutumia.
Pamoja na hayo Browser hiyo baada ya kutoka na baadhi ya watu kutumia wametoa maoni yao na kusemakuwa browser hiyo imekuwa ni nyepesi sana na inafanya kazi vzuri zaidi ya browser nyingine maarufu kama Google Chrome na Mozilla Firefox.


DOWNLOAD VIVALDI BROWSER HAPA ::: LINK > https://vivaldi.com/#Download


AndroidAuthority





Post a Comment

 
Top