Nchi ya Urusi iliyopo katika Bara la Asia ndiyo nchi inayo miliki Nyambizi (Submarine) kubwa zaidi duniani na pia nyambizi hiyo ni maalumu kwa ajili ya masuala ya kijeshi. Nyambizi hiyo inajulikana kama "Typhoon Class" hilo ni jina ambalo kikosi cha NATO kiliipa nyambizi hiyo.
Hata hivyo, Nyambizi hiyo iliyo anza kutokana kile walikiita "The Project 941" au "Akula", Kirusi huandikwa "Акула" ikiwa na maana ya "Shark" yani "samaki aina ya Papa" . Nyambizi hiyo ilitengenezwa mnamo wa miaka ya 1980s na ina Tani 48,000 na urefu wa zaidi ya Mita 170 sawa na Futi 515 urefu na upana wa MIta 23 sawa na Futi 70 upana.

Post a Comment