Kampuni ya simu ya Nokia ambayo ilinunuliwa na kampuni ya Microsoft inayo milikiwa na tajiri Bill Gates imeamua kusitisha uendelezaji wa kutoa simu za NOKIA X na NOKIA X2 DUAL SIM ambazo zilikuwa zikitumia Operating System ya Android badala ya Windows Phone na kusema kuwa matoleo yafuatayo ya simu hizo yatakuwa yakitoka na operating system ya Windows Phone.
AndroidAuthority
Posted via NitoTechnology
Post a Comment