Kampuni ya Huawei ninatarajia kutoa Smart Watch zake baadae Jumapili hii (1st March 2015) ambazo wao huziita Huawei Watch (Timeless design). Smart Watch hizo bado hawaja sema kwa undani kuhusu uwezo wake na wanatarajia kutangaza vyote hapo baadae katika Mobile World Conference (MWC). 
Hata hivyo, kampuni hiyo imesema kuwa saa hizo zitakuwa zikitumika na kila mtu na zitakuwa na sio kama Smart Watch nyingine zilivyo zina muonekano wakiume tu na kusema kuwa zimekuwa zikiegemea sana jinsia moja.

Pamoja na hayo, katika mkutano huo ndipo watatangaza bei pamoa na uwezo wa smartwatch hizo.

 TAZAMA VIDEOS HIZI ZINAZOONESHA SMARTWATCH HIZO ZA HUAWEI






>>>SOMA HABARI NYINGINE ZA KITEKNOLOJIA HAPA<<<

Post a Comment

 
Top