Kuna uvumi ulioanza kutoka katika mitandao mbali mbali juu ya Kampuni ya Samsung kutoa simu nyingine itakayo julikana kama Samsung Galaxy F baada ya simu iliyotoka hivi karibuni inayo julikana kama Samsung Galaxy S5.
Hata hivyo, kuna maelezo machache kuhusu simu hiyo kuwa itakuwa na RAM 3GB na display ya QHD.
Posted via Blogaway
Post a Comment