Kampuni ya simu ya Nokia ambayo hivi karibuni imenunuliwa na Kampuni ya Microsoft inayo milikiwa na Bill Gates imeingia mkataba na kampuni ya Canon ambayo inatengeneza kamera, lens na vifaa vya vinavyo husiana na kamera.
Hata hivyo, mkataba huo una shukiwa na baadhi ya watu kuwa simu zijazo za lumia zitaanza kutumia lens za canon wakati hapo awali zilikuwa zikitumia lens za Carl Zeiss.
Posted via Blogaway
Post a Comment