Binadamu anahitaji kiasi cha 1.5 Gigabytes kukamilisha mfumo mzima wa kumbukumbu kwa binadamu.  Binadamu ana tishu zinazokaribia Trillioni 40 ambapo kila tishu ina uwezo wa 1.5 Gigabytes ambayo huleta mkamilisho wa 60 Zettabytes (60 na Sifuri zipatazo 21).

Asilimia 99.9 katika kumbukumbu za binadamu hushirikiana na binadamu wengine duniani.

Hivyo ni Megabyte isiyozidi 1 ambayo humtofautisha binadamu mmoja na mwingine. (Uniqueness)


Posted via Blogaway

Post a Comment

 
Top