Miaka mingi iliyopita mainjinia wawili waliamua kubadilisha gari aina ya Cadillac la mwaka 1969 lilo katika hali mbaya na kuligeuza kuwa gari lenye Swimming Pool. 
Hata hivyo, gari hilo lililo karabatiwa upya kabisa kwa aina nyingine sehemu ya dereva pamoja na sehemu za kukalia watu wengine zimetengenezwa kivingine kabisa. Dereva na wengine wote watakua wanakaa kwenye maji ambayo yatakua ya uvugu vugu uletwao na joto la engine ya gari hilo likiwa linatembea barabarani.

Picha:






Post a Comment

 
Top