Kampuni ya Apple ya nchini Marekani ndiyo iliyo na simu (Smartphone) ghali zaidi duniani iitwayo " Diamond Rose iPhone 4 32GB" ambayo imetengenezwa kwa vito vya Almasi (Diamonds) zisizo pungua 500 na katika chata yake ya Apple ikiwa na Almasi zisizopungua 53, pamoja na Dhahabu (Golds).
Simu hiyo ina thamani ya Dola za Kimarekani $8 Milioni.
Post a Comment