Kampuni ya Sony inategemea kutoa simu yake ya Xperia Z3 ambayo picha yake ya awali imevuja na pia uwezo wa simu hiyo ambayo itakuwa nayo umeanza kuhisiwa kuwa ni.
1. Android 4.4.4 KitKat
2. Processor 2.5 GHz Snapdragon 801 processor
3. 20.7MP Exmor RS lens Camera.
Posted via NitoTechnology
Post a Comment