Kampuni ya SAMSUNG inatarajia kuja na aina nyingine ya kudhibiti taarifa zako za muhimu katika simu yako ya smartphone ya Samsung au tablet yako ya Samsung kwa kutumia Jicho (Retina Scan) .

Hata hivyo Teknolojia hiyo inategemewa kuwa itakua ikitumika kwa sana licha ya Teknolojia ya kudhibiti data kutumia sura kutokuwa ikitumika sana na watu.

AndroidAuthority


Posted via NitoTechnology

Post a Comment

 
Top