Kampuni ya Amazon inayo jishughulisha na masuala ya kuuza bidhaa kwa njia ya mtandao imeanza kuomba ruhusa katika Shirikisho la masuala ya anga la nchini Marekani (Federal Aviation Administration) kwa ajili ya kuanza kuzijaribu ndege zisizo na rubani yaani (Drones) zitakazo tumika kupelekea wateja wao bidhaa kwa mda mfupi hadi mlangoni na huduma hii itajulikana kama Amazon Prime Air Delivery.

Gizmodo


Posted via NitoTechnology

Post a Comment

 
Top