Taarifa za kutishia usalama za kigaidi katika taifa la Marekani zilizo kuwa limedhamiria kuteka nyara ndege ambayo inaelekea nchini humo pasipo kujilikana ni lini nani ndege gani haswa iliyokusudiwa.
Hata hivyo, Sekretarieti inayo jihusisha na mambo ya nchini huko ambayo inaongozwa na Jeh Johnson imetoa agizo kwenda katika Kitengo cha masuala ya usalama katika uchukuzi Transportation Security Administration (TSA) kuimarisha ulinzi katika Airports zote na pia abiria wote lazima Simu zao, Tablets na Laptops zisiwe zimezimwa.
Pia kumekua na taarifa kuwa wanajeshi wa kiislamu huko Syria na Yemen wanatengeneza mabomu ambayo wataweza kulipua Airport huko nchini Marekani.
Posted via NitoTechnology
Post a Comment