Kampuni ya Huawei imetoa simu yake mpya aina ya Huawei Ascend Mate 2 ambayo imeingia sokoni hivi karibuni.

Simu hiyo ni kubwa na inauzwa kwa bei ndogo.

FAIDA za simu hiyo:

1. Kioo kikubwa.

2. Battery yenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi chaji.

3. Perfomance ya hali ya juu.

HASARA

1. Camera yake haina quality nzuri sana.

2. Ni vigumu kuitumia kwa mkono mmoja kutokana na ukubwa wa kioo chake.

Inauzwa dola za kimarekani ($299.99)

UWEZO WA SIMU HIYO

1. CPU Snapdragon 400 ,1.6 Ghz, Adreno 305 GPU.

2. 2GB RAM.

3. 16GB Internal Memory

4. 4G LTE, 3G, EDGE, GPRS

5. 13MP Kamera ya nyuma na 5MP kamera ya mbele.

6. 4050mAh ya battery.

7. Kioo 8.0 inches

8 Android 4.3 Jelly Bean


Posted via NitoTechnology

Post a Comment

 
Top