Kampuni ya Google yatangaza kutoa saa yao mpya ijulikanayo kama Android Wear wiki ijayo.

Hata hivyo kampuni hiyo ya Google imesha andaa applications 24 ambazo zitakua zikitumika katika Saa hiyo ambazo ni kama zifuatazo.

1. Android Wear
2. IFTTT
3. Level Money
4. Contacts+
5. Bandsintown Concerts
6. Banjo
7. Dualingo
8. Eat 24
9. Onefootball Brazil
10. Highlight
11. Glympse
12. Talkray
13. Player FM
14. Thomson Reuters Eikon
15. Personal Capital Finance
16.Pinterest
17. Allthecooks recipes
18. American Airlines
19. Fly Delta
20. 1weather widget
21. Zumper
22. Maps
23. Hangouts
24.The Guardian


Posted via Blogaway

Post a Comment

 
Top