Kampuni ya Hawlett-Packard maarufu kama HP imetoa kompyuta mpya laptop zijulikanazo kama Chromebook ambayo ni inatumia Operating system ya Chrome OS ya Kampuni ya Google. Laptop hiyo itakayouzwa kwa dola za kimarekani $200, hata hivyo kampuni hiyo imetoa ofa ndani ya masaa sita kwa kuipata laptop hiyo kwa kiasi cha dola $199.99.

Posted via Blogaway

Post a Comment

 
Top