Kampuni ya LG (Life's Good) imetangaza itatoa simu aina ya LG G3 ifikapo tarehe 16 Julai mwaka huu katika nchi ya Marekani.
Simu hiyo ilishatoka katika nchi ya Korea ya kusini tu mnamo Mei 28, mpaka sasa sehemu zingine ni Hong Kong, Indonesia, Singapore na Philipines huku nchi zaidi ya 170 bado simu hiyo haijafika.
Hata hivyo, simu hiyo itaanza kutoka kwa mara ya kwanza katika nchi ya Marekani na baadaye kusambaa katika nchi zingine duniani.
Uwezo wa Simu hiyo ya LG G3
3GB of RAM
16GB/32GB Internal storage
Kioo 5.5 Inches
13 MP camera
Posted via Blogaway
Post a Comment