Kampuni ya Amazon ya nchini Marekani ambayo inajishughulisha na masuala ya kuuza vitu kwa njia ya mtandao imeamua kutoa ndege ambazo hazina rubani maarufu kama "Drones"

Ndege hizo zitakuwa zikitumika kusafirishia mizigo mepesi mepesi kwa wateja wake ambao watakuwa sehemu mbali mbali hususani sana sana katika nchi hiyo ya Marekani kwa wateja wake ambao watakuwa wakinunua bidhaa kutoka kwao kwa mjia ya mtandao na kuwafikishia hadi mlangoni.

Ina sadikika ndege hiyo itatumia dakika zipatazo 30 kumfikishia mteja ambaye hatokuwa mbali sana na ofisi ya Amazon ilipo.

Hata hiyo, huduma hiyo itakuwa ikijulikana kama "PRIME AIR DELIVERY"



Chanzo: Gizmodo

Post a Comment

 
Top