Samsung Galaxy S5 Mini kutoka kampuni ya Samsung yatangazwa. Kampuni ya Samsung imetangaza kutoa Samsung Galaxy S5 Mini ambayo itaanza kusafirishwa na kupatikana katika nchi mbalimbali siku chache zijazo.
Samsung Galaxy S5 Mini itakuwa na Specifications zifuatazo:
1. Kioo (Display) 4.5 Inch HD AMOLED Display.
2. Quadcore Processors (4 Processors) 1.4GHz.
3. RAM 1.5GB
4. 16GB Internal Storage .... expandable with a Micro SD of 64GB.
5. 8MP rear camera (Kamera ya Nyuma) , 2.1MP front camera (Kamera ya Mbele)
6. 2100mAh battery.
NB
Simu nzima kwa ujumla plus battery inakua na ujazo wa gram 120
Posted via Blogaway
Post a Comment