Rapa huyo maarufu kutoka Marekani na pia mmiliki wa Earphones zijulikanazo kama SLEEK, amezindua aina mpya ya Earphones hizo zilizo na muonekano wa kiuwa michezo na ni maalumu kwa wapenda michezo wote watakao penda kununua na kuzitumia wawapo mazoezini. Pia zimetoka zikiwa na aina tofauti tofauti kama zilizo na waya wa moja kwa moja (Wired), pia na ambazo hazitumii waya (wireless) unazoweza kuunganisha kwa kutumia Bluetooth.

Bei yake ni kuanzia $80 wired na $150 wireless.

Post a Comment

 
Top